2 Kings 2:2

2 aIlya akamwambia Al-Yasa, “Kaa hapa. Bwana amenituma Betheli.”

Lakini Al-Yasa akasema, “Kwa hakika, kama Bwana aishivyo na wewe uishivyo, sitakuacha.” Kwa hiyo wakaenda Betheli pamoja.

Copyright information for SwhKC